Soko la Khartoum la hisa, Sudan

Mwishoni wa mwaka wa 1996, Soko la hisa lilifikisha miaka miwili ya kufanya
biashara na rasli mali zilizofikia dolari
bilioni 31.98 kufikia December 31, 2004,
soko la Khartoum lilikua na jumla ya hisa zenye thamani ya $1.47 bilioni, hiyo
ina wakilisha nyongeza ya rasli mali ya 91.2% kutoka 2003, ingawaje jumla ya
idadi ya hofu zilizo orodheshwa zimeongezeka kwa 1, hadi 48 , wakati tano
miongoni mwa hisa zilizo orodheshwa zilianguka.

Kwa kuongezea, Vile vile kulikua na ruzuku 6 na pia uwekezaji wa stakabadhi ya
thamana (bond) za serikali ya awamu ya 42 (ziloitwa rasmi stakabadhi za musharaka
za serikali) hamna shaka kua mandhari ya utekelezaji ya muungano wa mawasiliano
na Sudatel zimechangia vikubwa kukua kwa hisa za soko la hisa la Khartoum .

Ingawaje sudatel inashiriki kiwango aslimia ya rasli mali kwenye soko imepungua
kutoka 77% ilipofungwa 2001 mpaka 64.5% ( milioni $948.255) ilipofungwa 2004.
Na mmimino wa rasli mali ya Milioni $5.67 kwenye banki ya Blue Nile na Mashreq –
benki kuu zaidi inayo milikiwa kibinafsi na umoja wa milki za kiarabu (UAE), imecha
ngamsha soko la rasli mali kutoka milioni $410,196, na kwa muda wa mwaka mmoja,
kulikua na umuhimu (80%) ya kufadhilishwa kwenye bei za hisa za Benki ya Export
Development ikipandisha thamani kutoka milioni $4.895 hadi milioni $9.197 , thamani
ya dolari imeongezeka zaidi ya 80% huku ikiipa afadhali Dinar ya kisudani kupanda kwa
4% dhidi ya dolari ya kimarekani.